[9.725] habari [10.425] [13.295] unaendeleaje [14.575] [16.375] [16.995] [17.855] leo unaenda wapi [19.995] [21.765] (()) [25.235] ya wapi [26.895] [30.255] [32.255] [36.135] [37.275] [38.455] mi niko Nairobi [40.745] [41.945] niko Nairobi katika kampuni ya utafiti ya ehhe Synovate [47.435] [50.935] unani- unanipata vizuri [55.845] [61.475] mwenzangu unanipata [62.895] [66.715] ohh unaongea mambo ya mpira [69.555] [72.535] ehhe mi niliangalia hiyo mpira nikaona hiyo mchezo haikuwa mzuri [76.965] [78.175] lakini na- nadhani hiyo timu si mzuri sana timu yangu wajua ni ile timu inayo wasakati wasakata wa ngoma sana inaitwa Arsenal [91.035] [93.475] ehhe [94.325] [99.835] ukiangalia sasa tumeshikilia nafasi ya kwanza katika league la Uingereza [105.165] [108.705] tumebakisha mechi kidogo sana ehhe na huenda tukashinda msururu wa league zijayo sasa tukiendelea kucheza vile tunacheza saa hii [119.485] [124.535] okay kufikia sasa hatujapata majeraha yoyote [128.245] [129.345] na tuko na imani huenda tukaendelea vivyo hivyo mpaka mwisho [133.385] [138.505] timu yetu ni kubwa sana na bado tuna wachezaji wengine ambao ni wachezaji wa akiba na tunawategemea sana huenda tukawatumia kama tutapata majeraha mengine [152.675] [153.920]